News

Nilitazama hotuba ya Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan nikiwa nyumbani na mke wangu na wakati niliposema kitu kimoja ambacho sikuvutiwa nacho kuhusu hotuba ile - mke wangu alinijibu kwa ...
Wachambuzi wa siasa wameonesha kushangazwa kwa kiasi fulani na ukosoaji wa Rais Samia Suluhu Hassan ... matukio ya utekaji. “Kama wewe ni mtekaji, baada ya kuiskiliza hotuba ya jana, umeingiwa ...
Katika kuboresha hali na ustawi wa wafanyakazi nchini, Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametangaza kuongeza kima cha ...
Rais Samia Suluhu Hassan ameipongeza Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) kwa kuendelea kuboresha mifumo ya utatuzi wa Migogoro ...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema ushirikishwaji wa sekta binafsi katika uendeshaji wa bandari na miundombinu mingine umechangia mafanikio makubwa nchini, ikiwemo ongezeko la mapato.
Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amesema serikali inaendelea na taratibu za kutunga sheria ya majengo itakayokuwa na jukumu la ...
Haya yote yanalenga kuwezesha upatikanaji wa thamani halisi ya fedha na kufikia malengo ya kutoa huduma bora kwa wananchi na ...
DAR ES SALAAM: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka watanzania kusimama na Rais Samia Suluhu Hassan katika kulinda ...
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameipongeza klabu ya Simba kutinga kwa mara ya kwanza fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika na hivyo kuandika historia mpya. Rais Samia amesema Simba ...