Uenezi na mafunzo ya chama tawala cha CCM bwana Paul Makonda ambaye sasa ndiye mkuu mpya wa mkoa wa Arusha. Makonda alikuwa amehudumu katika nafasi yake ya awali kwa takriban miezi mitano.
Maelezo ya sauti, Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam,Paul Makonda katika shinikizo la kuchukuliwa hatua za kisheria 20 Machi 2017 Nchini Tanzania , Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ameingia ...