News

13 Mei 2019 Mvua kubwa inayoendelea kunyesha katika mji wa Dar es Salaam, Tanzania imeathiri huduma ya usafiri wa umma huku idara ya hali ya hewa ikitoa tahadhari. Kampuni ya Mabasi ya mwendo kasi ...
Utabiri huo wa TMA unaonesha kwa kesho Jumanne hadi Alhamisi ya Aprili 17, 2025 hakutakuwa na tahadhari yoyote ya mvua nchini.
Mvua kubwa ambayo imekuwa ikinyesha maeneo mengi pwani ya Tanzania imesababisha mafuriko na uharibifu mkubwa. Katika eneo la Mji Mpya, Kawe, nyumba zimebomoka na baadhi ya maeneo hayapitiki.
Zaidi ya saa 72 zimetumika kurejesha mawasiliano ya barabara ya Dar es Salaam na mikoa ya kusini iliyokatika Aprili 6, 2025 kutokana na mvua kubwa iliyonyesha Wilaya ya Kilwa mkoani Lindi.
WAZIRI wa Ujenzi Abdallah Ulega amesema kazi ya ujenzi wa madaraja matano kwenye barabara kuu ya Dar es Salaam - Lindi ...
WAKATI umesalia muda mfupi kabla ya mchezo wa robo fainali ya pili kupigwa, hali ya hewa ya mvua iliyoanza kunyesha mapema ...
Hali za maisha za manusura wa tetemeko kubwa la ardhi lililotokea mwezi uliopita nchini Myanmar zinazidi kuwa hata mbaya zaidi kwani mvua kubwa imenyesha katika maeneo yaliyokumbwa na tetemeko hilo.