Baada ya uzinduzi huo hapo kesho wizara ya Afya ... Hayo yamesemwa na rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan alipofanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa Barani ...
Rais wa Tanzania Samia suluhu Hassan ametaja baraza jipya la mawaziri wakati wa hafla ya kuapishwa kwa Makamu wa Rais Dkt Philip Mpango. ''Nimefanya mabadiliko madogo ndani ya baraza la mawaziri ...