mto unaotumika kuzalisha asilimia 90 ya maji ya jiji la Dar es Salaam kupitia mitambo ya Ruvu juu na Chini Kupungua kwa kina cha maji kunakotajwa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Bwana Makalla ...
Dkt. Magufuli pia amezungumzia usafi wa Jiji la Dar es salaam kwa kuwataka viongozi wa Manispaa zote za Jiji, kuhakikisha wanatafuta namna ya kudhibiti utupaji hovyo wa takataka ikiwemo kutoza ...
Kwa mujibu wa sheria hiyo, atakayebainika kufanya kosa hilo adhabu yake ni kifungo mwaka mmoja au faini isiyopungua Sh300,000 ...