Ligi kuu ya Tanzania bara itaendelea tena leo kwa michezo miwili kupigwa katika miji ya Shinyanga na Mbeya. Vinara wa ligi hiyo wekundu wa Msimbazi Simba, watakua ugenini mkoani Mbeya, kusaka ...
KIKOSI cha Simba kinaendelea kujifua baada ya mchezo wao wa Ligi Kuu uliokuwa upigwe leo dhidi ya Dodoma Jiji kuahirishwa, ...
Safu za ulinzi za Fountain Gate na Simba zitalazimika kufanya kazi ya ziada wakati timu hizo zitakapokutana leo kwenye Uwanja ...
IKITARAJIWA kuwakabili wenyeji Fountain Gate FC katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara itakayochezwa leo kwenye Uwanja wa ...
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imesogeza mbele mchezo baina ya Simba na Dodoma Jiji FC ambao ratiba ya awali inaonyesha ...
TIMU za soka za Wanawake, Yanga Princess na Simba Queens, leo zitashuka kwenye viwanja tofauti Dar es Salaam, kusaka pointi ...
Leo Jumamosi, Mei 8, mechi ya soka ya watani wa jadi Tanzania, Simba na Yanga itachezwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam ikiwa ni ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania msimu huu ...