Ligi kuu ya Tanzania bara itaendelea tena leo kwa michezo miwili kupigwa katika miji ya Shinyanga na Mbeya. Vinara wa ligi hiyo wekundu wa Msimbazi Simba, watakua ugenini mkoani Mbeya, kusaka ...
IKITARAJIWA kuwakabili wenyeji Fountain Gate FC katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara itakayochezwa leo kwenye Uwanja wa ...
Safu za ulinzi za Fountain Gate na Simba zitalazimika kufanya kazi ya ziada wakati timu hizo zitakapokutana leo kwenye Uwanja ...
DAR ES SALAAM: MABINGWA watetezi Young Africans wameizidi kutanua uongozi wao wa ligi baada ya kuifunga Singida ...
Leo Jumamosi, Mei 8, mechi ya soka ya watani wa jadi Tanzania, Simba na Yanga itachezwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam ikiwa ni ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania msimu huu ...
KIKOSI cha Simba kinaendelea kujifua baada ya mchezo wao wa Ligi Kuu uliokuwa upigwe leo dhidi ya Dodoma Jiji kuahirishwa, ...
WAKATI inatarajia kuwakaribisha KMC FC katika mechi ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara itakayochezwa leo kwenye ...
Ladack Chasambi na Elie Mpanzu wamekuwa habari ya mjini leo baada ya kuiongoza Simba kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya ...