Tangu ameingia madarakani, tuzo mbalimbali zimemiminika kwa Rais Samia kwenye sekta za utalii, miundombinu, utawala bora na ...
RAIS Samia Suluhu Hassan amepokea tuzo ya heshima ya ‘The Gates Goalkeepers Award’ kutambua juhudi zake za kupunguza vifo vya mama na mtoto kwa asilimia 80, kuboresha upatikanaji huduma za afya na kuk ...
Tuzo ya Gates Goalkeeper imeasisiwa na Taasisi ya Bill and Mellinda Gate mwaka 2017 ikilenga kuchochea na kuonyesha juhudi za ...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amepokewa na wakazi wa Dodoma baada ya kutunukiwa tuzo ya Gates Goalkeeper huku akisema tuzo hiyo ni ya wahudumu wa sekta ya afya na Watanzania wote.
Tuzo hiyo hutolewa kwa viongozi waliowezesha nchi zao kuharakisha maendeleo kuelekea kufikia malengo ya maendeleo endelevu.
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kesho, Jumanne, Februari 4, 2025 anatarajiwa kupokea tuzo ya ‘The Gates Goalkeepers ...
Samburu anayesimamia miradi ya Gates iliyopo Kenya, Tanzania, Rwanda, Uganda na mataifa mengine ya Afrika Mashariki, pia ...
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Clement Mzize, amesema mabao anayoyafunga ni kwa ajili ya kuisaidia timu yake kutwaa ubingwa wa Ligi ...
Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) imetunukiwa tuzo na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ikiwa ni sehemu ya juhudi za ...
DAR ES SALAAM; KAMPUNI ya Puma Energy Tanzania imempongeza Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kuweka mazingira bora na wezeshi ...
Hivi karibuni, Choplife Gaming Limited ilipokea tuzo ya “Mlipa kodi Mkubwa wa Ujumla” kwa ukanda wa Mashariki nchini kutoka ...