Vita vya Israel na wapiganaji wa Hamas huko Gaza vitaendelea kwa "miezi mingi zaidi", mkuu wa jeshi la Israel amesema. "Hakuna suluhu za kichawi," Herzi Halevi aliwaambia waandishi wa habari.
Khamenei alisema, "Ni ukweli kwamba hata Israel ifanye nini, haitaweza kufidia aibu iliyokumbana nayo" ya mashambulizi kutoka kwa Hamas ... wa kupigana vita vya muda mrefu na adui na iwapo ...
Mamia ya watu walikusanyika katika kanisa la Uzawa katika mji mtakatifu kwa Wakristo wa Bethlehem Jumanne kuadhimisha ...
Mamlaka za afya katika Ukanda wa Gaza jana Jumatatu zilisema kuwa mashambulizi ya Israel yameua watu 58 katika kipindi cha ...
Inatarajiwa kuanza Jumatano hii saa 10 asubuhi kwa saa za Israel, na kukomesha zaidi ya mwaka mmoja wa uhasama wa kuvuka mpaka na miezi miwili ya vita vya wazi ... kwa Hamas ya Palestina katika ...
Vikosi va Israel viliendelea na mashambulizi katika ukanda huo jana Ijumaa. Vyombo vya habari nchini ... kwamba hayupo tayari kumaliza vita hivyo hadi kundi la Hamas itakapoondoshwa.
SHIRIKA la Human Rights limeilaumu Israel kwa kuzuia usambazaji wa maji katika Ukanda wa Gaza, hatua ambayo imesababisha vifo ...