Dodoma, Tanzania MRADI mkubwa wa Reli ya Kisasa (SGR) nchini Tanzania, ambao unalenga kuboresha usafiri wa abiria ...
DAR ES SALAAM; MWANASIASA mkongwe nchini, Stephen Wasira ametaja sababu nne zilizofanya uchumi kuimarika pamoja na kuongezeka ...
Awali, Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Maimbo Mndolwa alisema mwaka jana Rais wa Ujerumani wakati wa ziara ...
MWANZA; MELI ya Mv Serengeti imepinduka na kuzama kwenye Bandari ya Mwanza Kusini ikiwa imefungwa katika gati bandarini hapo.
RAIS Samia Hassan Suluhu ametoa Sh milioni 10 kwa uongozi wa waendesha bodaboda Wilaya ya Arusha kwa ajili ya kuanzisha chama ...
SHIRIKISHO la Mchezo wa Bao Tanzania (Shimbata) limemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kumsaidia gharama za matibabu Rais ...
CHAMA cha ACT- Wazalendo kimetoa wito kwa serikali kuhakikisha inadhibiti mpaka wa Msumbiji na mikoa jirani ya ...
Alitoa wito kwa viongozi wote duniani kutenda haki katika uongozi ikiwa ni pamoja na kusimamia katika haki ili kudumisha ...
UJENZI, ukarabati na matengenezo ya miundombinu ya barabara na usafi rishaji nchini unazidi kuimarika na kuwawezesha wananchi ...
AJALI za barabarani zimekuwa tishio nchini. Mbali na uharibifu mkubwa wa mali, zimegharimu maisha ya mamia ya Watanzania ...
DAR ES SALAAM :Waziri wa Viwanda na Biashara, Seleman Jafo amesema soko la asali ya Tanzania nchini China linaenda kukuza ...
Katika kusherehekea Sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya 2025, Watanzania hatuna budi kujivunia safari ya mafanikio katika ...