Mwanamke huyo alipatikana na hatia ya kukutwa na dawa za kulevya kilo mbili huko Vietnam na kuhukumiwa kunyongwa adhabu ambayo inapaswa kutekelezwa leo jioni. Hata hivyo hakuna uhakika kama ...
MWANAMKE wa Kikenya, amekamatwa kwa usafirishaji wa dawa za kulevya huko Vietnam. Imepangwa kunyongwa kesho. Vietnam ina sheria kali zaidi duniani kuhusu dawa za kulevya, ikiwa ni pamoja na adhabu ya ...