Zaidi ya wakazi 500,000 wa visiwa vya Ziwa Victoria wamenufaika na huduma za afya zinazotolewa na meli ya matibabu MV Jubilee ...
Mji mkuu wa mkoa wa Kivu Kusini, Bukavu, unajiandaa kushambuliwa na M23 na washirika wake Rwanda siku ya Ijumaa, ikionyesha mwendelezo wa mzozo huo ambao Umoja wa Mataifa unahofia kuwa "mbaya ...
Baada ya kuuteka mji mkuu wa mkoa wenye utajiri wa madini wa Kivu Kaskazini, wanajeshi wa M23 na Rwanda walianza mashambulizi mapya katika mkoa jirani wa Kivu Kusini siku ya Jumatano. Kwa hivyo ...
Itakumbukwa jana Februari 11, 2025, Katibu wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro, Mercy Mollel alitangaza kuvuliwa uanachama wa CCM kwa kada huyo.
BAADA ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Dodoma Jiji ugenini, kocha mkuu wa Pamba, Fredy Felix ‘Minziro’ amesema ...
Pamba Jiji imetuma ujumbe kwa waamuzi wa Ligi Kuu Bara ikionyesha masikitiko juu ya vitendo vya baadhi ya waamuzi kulazimisha ...
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imekwama vitani, wanamgambo wa kundi la M23 limekuwa vitani dhidi ya jeshi la kitaifa na kudhibiti sehemu muhimu zote kwa mkoa wa ... kuingia mji mkuu wa Kigali ...
WATAALAMU wa sekta ya ununuzi wa umma wameaswa kuzingatia maadili ya taaluma ya fani yao katika usimamizi wa miradi ya umma ...
ambapo waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda wameuteka mji mkuu wa mkoa Goma na wanaendelea katika maeneo mengine zaidi. Ujumbe wa kidiplomasia uliotumwa Ijumaa na Marekani kwenda Kenya ...
MKUU wa Mkoa wa Shinyanga, Anamringi Macha, ametoa wito kwa wananchi wa mkoa huo, kujitokeza kwa wingi kupima ugonjwa wa Kifuakikuu (TB), kwa kuwa matibabu yake yatatolewa bure. Amebainisha hayo jana, ...