WATU 11 wamepoteza maisha usiku wa kuamkia leo katika ajali ya barabarani, baada ya kugongwa na lori lililokuwa limebeba saruji, kupoteza mwelekeo na kuwagonga watu hao waliokuwa wakishangaa ajali ...
Thamani na shughuli za biashara katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) imeongezeka kwa mwaka 2024 licha ya changamoto ...
Baadhi ya watumishi wa umma katika ofisi ya Mkuu ... Mwanza. Mkoa wa Mwanza umeanzisha kampeni ya watumishi wa umma ya kufanya mazoezi ya viungo kila Jumamosi ya tatu ya mwezi ili kudhibiti magonjwa ...
Donald Trump leo Jumatatu anaapishwa kuwa rais wa 47 wa Marekani. Trump anatarajiwa kutia saini idadi kubwa itakayoweka rekodi ya amri za rais punde baada ya kula kiapo cha kutumikia muhula wake ...
Chama tawala nchini Tanzania, Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepitisha azimio la kumteua Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa nafasi ya urais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadae ...
Hadi sasa, Israel bado inasubiri majina ya mateka watatu wanaotarajiwa kuachiliwa leo, kwa mujibu wa ofisi ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu. Taarifa kutoka ofisi yake inasema aliagiza Jeshi la ...
Are you dealing with themes related to greed or even a hoarding situation? Sometimes, fear of failure and lack of limited resources are the root cause of a person's inability to give. You can ...
DODOMA;Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa CCM wakisikiliza Taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya CCM 2020-2025 Zanzibar inayowasilishwa na Mjumbe wa Kamati Kuu na Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Hemed ...
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu Maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo wanaanza kikao chao cha siku mbili ambacho pamoja na mambo mengine wanakwenda kupiga kura ya kujaza nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM ...
Marekani imetangaza vikwazo siku ya Alhamisi, Januari 16, dhidi ya mkuu wa jeshi la Sudani, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan, siku chache baada ya kuchukua hatua sawa dhidi ya mkuu wa wanamgambo wa ...
Rais mteule Donald Trump atarejea tena katika Ikulu ya White House leo Jumatatu Januari 20, 2025, punde tu atakapo apishwa rasmi kuwa rais wa 47 wa Marekani. Siku ya kuapishwa itajumuisha sherehe ...