Siku ya Jumatatu usiku, Ikulu ya Marekani iliomba idara za shirikisho na mashirika kuzuia baadhi ya matumizi ya "msaada" - ikiwa ni pamoja na ruzuku na posho - na kufanya mapitio ya kina ili ...
Rais wa DRC , Felix Tshisekedi, hatahudhuria mkutano usio wa kawaida wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ulioitishwa na Rais William Ruto wa Kenya kuhusu mgogoro wa mashariki mwa Congo.
"Hii ni takwimu ambayo nchi yetu tayari imeiona. "Kwa hiyo kuna taratibu za uratibu ambazo zimekuwepo kwa muda mrefu," rais amesema. "Wakati huu tumejiandaa kwa kuweka vituo vya uangalizi kwenye ...
HUDUMA za intaneti kupitia waya za faiba zilizounganishwa majumbani na ofisini na kasi yake zinazidi kuongezeka nchini, hali inayoashiria mwelekeo mpya wa utumiaji teknolojia zinazojumuisha watu wengi ...
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema uzinduzi rasmi wa biashara kwa saa 24 utafanyika Februari 22, 2025 na utaanzia eneo la Ofisini za Mkuu wa Mkoa hadi Kariakoo kuwa na matukio ...
Tofauti na siku nyingine, ndani ya siku hizo harakati za maisha ya kawaida zilibadilika. Wafanyakazi wa umma na taasisi binafsi walipewa fursa ya kufanya kazi majumbani kama hawakuwa na majukumu ya ...
Mtanda ameiomba jamii kuiunga mkono familia ya mkurugenzi huyo kwa kuendeleza ndoto alizoziishi na kutamani kuzitimiza ili kuhakikisha shule za Alliance zinaendelea na hazipotezi mwelekeo.
Mtanda ameiomba jamii kuiunga mkono familia ya mkurugenzi huyo kwa kuendeleza ndoto alizoziishi na kutamani kuzitimiza ili kuhakikisha shule za Alliance zinaendelea na hazipotezi mwelekeo.
Ofisa Mtendaji wa Kata ya Katente wilayani humo, Issa Shaaban amesema hayo wakati akizungumza na HabariLeo ofisini kwake alipotembelewa na Kampeni ... kipato kiasi gani”, amesema Issa. Mtoa huduma za ...
“Parents who have not yet secured a space for their child in Grade 1 or Grade 8 at a Gauteng public school are encouraged to visit www.gdeadmissions.gov.za and apply before the closing date,” the GDE ...