Hadi sasa ni watu 224 wamethibitishwa kufa kufuatia ajali ya kivuko cha MV Nyerere nchini Tanzania katika ... hali mbaya kwa mujibu wa mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongela, ambaye amezungumza ...
Baadhi yao walisafiri toka Mwanza kuweza kutambua ndugu zao. Maandalizi ya maziko ya waathiriwa wa mkasa wa MV Nyerere hapo kesho yameanza karibu na eneo ambalo kivuko hicho kilizama. Tayari jeshi ...