News

Nchini DRC, muungano wa mashirika ya kiraia umeelezea wasiwasi wake kuhusu msururu wa kukamatwa kwa maafisa wakuu nchini humo. Katika miezi ya hivi karibuni, wanajeshi zaidi ya thelathini ...
Kando ya barabara, tuliona moshi ukifuka na kitu kinachowaka; pengine ilikuwa ndege isiyo na rubani. Tunaendesha gari kuelekea Bilytske, mbali na mstari wa mbele . Tunaona nyumba zilizoharibiwa na ...
Hatua hii ya Kigali kukosoa M23 inayodaiwa kuwaunga mkono kijeshi, inakuja wakati huu kundi hilo likituhumiwa kwa kukiuka haki za binadamu katika eneo hilo ambapo inadhibiti maeneo makubwa tangu ...
Nyesom WIke dai ya zargi Seyi Makinde da "lalata jam'iyyar" inda ya ce bai mutunta duk wasu yarjeniyoyin aka yi ba dangane da yadda za a warware taƙaddamar da jam'iyyar ke fama da ita a tsawon ...
Zaidi ya mwezi mmoja baada ya Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) kushambulia kambi kubwa zaidi ya watu waliokimbia makazi yao huko Darfur Kaskazini, kambi ya Zamzam imekuwa ngome ya wanamgambo hao ...
Waziri wa Mambo ya Nje wa DRC Thérèse Kayikwanba Wagner, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio, na Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda Olivier Nduhungirehe. Washington, Aprili 25, 2025. AP ...
Emmanuel Macron amewasili Vietnam Jumapili, Mei 25, kwa ziara ambayo itampeleka Indonesia na kisha Singapore kufungua mazungumzo ya Shangri-La, mkutano mkuu wa usalama wa kanda hiyo. Majadiliano ...
Hatimaye aliporejea, alikaribishwa kama shujaa - maelfu ya Wakenya walijitokeza kumlaki. Lakini kurudi nyumbani kuliharibiwa wakati wavamizi walipovamia nyumba ya Ngũgĩ, wakimshambulia mwandishi ...
Sasa anaongeza ufahamu kupitia mitandao ya kijamii, mazungumzo ya redio na warsha na amegeuza nyumba ya familia yake kuwa kituo cha usaidizi. Mwanasaikolojia Tafadzwa Mugazambi-Meki anasema kwa ...
KARIBU tena msomaji wangu tuendelee na mada ya wiki iliyopita kuhusu uovu wa nyumba ya baba zetu unavyotesa watu wengi. Yako mambo yanakutokea leo na kukutesa, kumbe yanatokana na uovu wa baba yako ...
WANANCHI wenye hasira kali wa eneo la Kwa Mrombo, mkoani Arusha, jana Oktoba 12,2024 wamevunja nyumba na kuchukua kila kitu, ikiwamo matofali na kuacha eneo hilo bila chochote cha mtuhumiwa Jaina ...