"Serikali imeidhinisha mpango wa kuwaachilia mateka," imebaini taarifa iliyochapishwa na ofisi ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu. Siku ya Ijumaa, baraza la mawaziri la usalama la Israel ...
Waziri Mkuu wa ... la mawaziri la usalama na serikali. Hamas ilisema ilijitolea katika mpango huo, lakini BBC inaelewa kuwa ilikuwa ikijaribu kuongeza baadhi ya wanachama wake kwenye orodha ...
Mawaziri wa Ulinzi Nakatani Gen wa Japani na John Healey wa Uingereza wamekubaliaba kuharakisha uendelezaji wa pamoja uliopangwa wa ndege ya kivita ya kizazi kijacho utakaofanywa na Japani ...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Japani Iwaya Takeshi na mwenzake wa India, Subrahmanyam Jaishankar, wamesisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya nchi zao, kabla ya kuanza kwa utawala mpya wa Marekani.
Ziara hiyo inajiri baada ya mawaziri wa ulinzi wa Japani na China kukutana Laos mwezi Novemba kando ya mkutano wa ulinzi wa kikanda, Hayashi amesema. "Kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka ...
Raia wa Uingereza na Israel Emily Damari ni miongoni mwa wanawake watatu ambao Hamas inasema wataachiliwa huru baadaye, ...
Kupandishwa cheo kwa wanasiasa wanne wa kike ndani ya baraza la mawaziri wa waziri mkuu, kume fufua mjadala kuhusu uwakilishi wa wanawake ndani ya upinzani wa mseto. Wasafiri wana onywa wabaki ...
Raia wa Chad walipiga kura hapo jana katika uchaguzi mkuu ambao serikali imeusifu kuwa ni hatua muhimu ya mpito wa kisiasa, baada ya miaka mitatu ya utawala wa kijeshi. Hata hivyo uchaguzi huo ...
Julius Mwaiselage, alisema kwa wastani hospitali hiyo inapokea wagonjwa watatu wa saratani ya utumbo mpana kila siku. Dk. Mwaiselage anasema miaka 10 iliyopita, aina hiyo ya saratani haikuwa inatajwa ...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema kuwa maandalizi ya Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika wenye lengo la kuharakisha upatikanaji umeme kwa Waafrika milioni 300 ...
Perth 10:57pm Jan 13, 2025 WA man fighting for life in hospital after allegedly being set on fire CCTV has captured the disturbing moment a man is allegedly set alight at his front door ...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar ... “Tutakuwa na tathmini kila baada ya miezi mitatu, nikiongoza vikao hivyo mwenyewe, tukihusisha mawaziri, makatibu wakuu na wataalamu wengine wanaohusika na lishe ...