NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Abdul Mhinte amewaagiza viongozi wa vyama vya wafugaji kushirikiana na Mamlaka za Serikali za Mitaa wakati wa chanjo ya mifugo itakayoanza Januari mwakani ...
WATOTO wa tatu wa familia mmoja, wamepoteza maisha, baada ya kufa maji wakati wakigolea kwenye lambo la kunywesha maji mifugo lililoko Kijijii cha Ngaritati, Kata ya Makiwaru, Wilaya ya Siha, mkoani ...
Raia wa Uingereza na Israel Emily Damari ni miongoni mwa wanawake watatu ambao Hamas inasema wataachiliwa huru baadaye, ...
Doron Steinbrecher, 31, Emily Damari, 28, na Romi Gonen, 24, ndio ambao Hamas inasema wataachiliwa, kwa mabadilishano ya ...
Kufuatia majadiliano ya Baraza la Usalama, Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Italia, Ufaransa, Ujerumani, Uingereza na Marekani pamoja na Mwakilishi Mkuu wa Umoja wa Ulaya kuhusu Mambo ya Nje na Sera za ...
Afisa wa Hamas ameliambia shirika la habari la AFP kwamba kundi hilo "limekubali kuwaachilia wafungwa 34 wa Israel kutoka kwenye orodha iliyotolewa na Israel katika awamu ya kwanza ya mpango wa ...
“Januari 27 ni maalum kwaajili ya Mawaziri wa Nishati wa Afrika kwaajili ya kujadili kuelekea Januari 28 ambao ndio Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wenye lengo la kuhakikisha watu milioni 300 ...
Ofisi ya Waziri Mkuu (PMO) inajumuisha wafanyikazi wa haraka wa Waziri Mkuu wa India, pamoja na viwango vingi vya wafanyikazi wanaoripoti kwa Waziri Mkuu. Ofisi ya Waziri Mkuu inaongozwa na Katibu ...
Mhifadhi Mkuu wa Wilaya ya Kalambo, Ibrahim Mkiwa amesema wamewakuta ng’ombe hao wamekufa hifadhini humo, huku akitoa rai kwa wananchi kutoingiza mifugo hifadhini. "Ni marufuku kwa wafugaji kuchunga ...
Aragija na Komba wapo katika orodha ya awali ya waamuzi watakaofanyiwa mchujo wa fainali hizo zitakazofanyika Tanzania, Kenya na Uganda. Katika orodha hiyo waamuzi wa kati ni 25, wasaidizi 22 na 16 ni ...
Uzalishaji wa madini kadhaa muhimu nchini umeendelea kuonyesha ukuaji mkubwa katika mwaka wa Fedha wa 2024-25 (Aprili-Novemba), kufuatia viwango vya uzalishaji vilivyopatikana katika Mwaka wa Fedha wa ...
A ban on cosmetics that have been tested on animals. A new hate crime hotline. A (slightly) expanded paid sick leave program. A response to the deadly 2019 crane collapse in Seattle. Free driver ...