NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Abdul Mhinte amewaagiza viongozi wa vyama vya wafugaji kushirikiana na Mamlaka za Serikali za Mitaa wakati wa chanjo ya mifugo itakayoanza Januari mwakani ...
Raia wa Uingereza na Israel Emily Damari ni miongoni mwa wanawake watatu ambao Hamas inasema wataachiliwa huru baadaye, ...
Doron Steinbrecher, 31, Emily Damari, 28, na Romi Gonen, 24, ndio ambao Hamas inasema wataachiliwa, kwa mabadilishano ya ...
Kufuatia majadiliano ya Baraza la Usalama, Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Italia, Ufaransa, Ujerumani, Uingereza na Marekani pamoja na Mwakilishi Mkuu wa Umoja wa Ulaya kuhusu Mambo ya Nje na Sera za ...
Afisa wa Hamas ameliambia shirika la habari la AFP kwamba kundi hilo "limekubali kuwaachilia wafungwa 34 wa Israel kutoka kwenye orodha iliyotolewa na Israel katika awamu ya kwanza ya mpango wa ...
Mhifadhi Mkuu wa Wilaya ya Kalambo, Ibrahim Mkiwa amesema wamewakuta ng’ombe hao wamekufa hifadhini humo, huku akitoa rai kwa wananchi kutoingiza mifugo hifadhini. "Ni marufuku kwa wafugaji kuchunga ...
A ban on cosmetics that have been tested on animals. A new hate crime hotline. A (slightly) expanded paid sick leave program. A response to the deadly 2019 crane collapse in Seattle. Free driver ...
He announced the big news via his Instagram account on Wednesday, January 1. “Ya boy did a thing 殺殺殺,” he captioned a carousel of pics from the big day. In the photos, MrBeast ...
The WA government claims the cameras are the most advanced in the country which the commissioner, Adrian Warner, says will use AI detection technology. "This is about drivers changing their behaviour.
jeshi la Israel linadai kuharibu miundombinu ya kijeshi ya Hezbollah. Viongozi wa kisiasa wa Lebanoni watawaomba mawaziri wa Ufaransa wanaozuru Beirut kuweka shinikizo ndani ya kamati ya ...
Raia wa Chad walipiga kura hapo jana katika uchaguzi mkuu ambao serikali imeusifu kuwa ni hatua muhimu ya mpito wa kisiasa, baada ya miaka mitatu ya utawala wa kijeshi. Hata hivyo uchaguzi huo ...
Mawaziri wa Mambo ya Nje, Iwaya Takeshi wa Japani na Wangi Yi wa China wamekubaliana kufanikisha ziara ya Wang nchini Japani mwaka ujao kwa ajili ya mazungumzo ya ngazi ya juu kuhusiana na ...