MIMI wala sio mtabiri, lakini natabiri; Tuzo za Vichekesho Tanzania zitajaa lawama kuliko tuzo zote zilizowahi kutolewa tangu ...
Mamlaka ya Uhifadhi na Uendeshaji Mji Mkongwe ilisitisha kwa muda mchezo wa makachu Forodhani tangu Desemba 22, 2024 baada ya kusambaa picha mjongeo iliyoonyesha ... pamoja na matumizi ya debe za taka ...
Wakati mwingine, picha za kujipiga uso, video, na picha zilizohaririwa zinabeba shinikizo la kutii viwango visivyo halisi vya urembo, jambo linaloathiri mtazamo wetu kuhusu sisi wenyewe.
Kabla ya kuvumbuliwa picha watu walitegemea wachoraji ili kupata picha za wanyama au binadamu, kabla ya ujio wa picha safi bila uchoraji. Karne hii unaweza kupiga picha kwenye simu yako au ...
When Za’Darius Smith was first asked about a potential trade to the Detroit Lions, he expressed excitement at the chance to return to a division that featured two of his former teams.
Playing in the biggest regular season game of the NFL season was not on Za'Darius Smith's radar at the start of the season, but he's ready to embrace the opportunity Sunday night against his ...
Kwa mara ya kwanza, Tanzania inatarajia kuanzisha tuzo za kutambua na kuthamini mchango wa wasanii katika tasnia ya vichekesho (uchekeshaji) chini ya usimamizi wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) na ...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia mtu mmoja anayetuhumiwa kusambaza picha za mjongeo zenye maudhui machafu, ambazo zimeunganishwa na majengo ya Shule ya Sekondari ya Baobab, hali ...
Provincial chief whip Dr Kwazi Mbanjwa and KwaZulu-Natal Legislature members Sfiso Zuma and Thobani Zuma have been suspended with immediate effect. Picture: A man wearing an MK Party shirt attends ...
Moshi. Ni kukua kwa teknolojia ya mawasiliano ya habari, ulimbukeni au malezi mabaya? Ni maswali yanayoumiza wengi kwa sasa, baada ya kuibuka wimbi la usambaaji picha za ngono, video na za mnato, ...
Msemaji wa Umoja wa MAtaifa, Stephane Dujarric akizungumza na waandishi wa habari hii leo jijini New York, Marekani amesema sambamba na mazingira hayo, changamoto kubwa za kufikisha misaada zimesalia ...