Rais wa Tanzania Samia suluhu Hassan ametaja baraza jipya la mawaziri wakati wa hafla ya kuapishwa kwa Makamu wa Rais Dkt Philip Mpango. ''Nimefanya mabadiliko madogo ndani ya baraza la mawaziri ...
Rais wa Tanzani Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya baraza la mawaziri na kubuni wizara mpya. Akitangaza mabadiliko hayo, Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Hussein Kattanga amesema Rais amefanya ...