News

RAIS Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali, kuwahamisha wizara, huku sura mpya ‘zikipenyeza’. Kadhalika, Rais amehamisha majukumu ya sekta ya Teknolojia ya Habari, kwenda Wizara ...
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali huku akimteua IGP mstaafu Balozi Simon Sirro kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Madini la Taifa (STAMICO). Balozi Sirro anachukua ...