Wizara ya Maliasili na Utalii imetakiwa kushirikiana kwa ukaribu na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi katika kukuza soko la ...
WIZARA ya Maliasili na Utalii imetakiwa kushirikiana kwa ukaribu na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi katika kukuza soko la ...
Wizara ya Maliasili na Utalii imetakiwa kushirikiana kwa ukaribu na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi katika kukuza soko la utalii nchini na kurahisisha utoaji wa huduma ya viza kwa watalii. Hayo ...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema kuwa Serikali ya awamu ya Sita imekusudia kuendelea kuboresha ...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amesema alishatoa maagizo kwa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), ...
Makamu huyo wa zamani wa rais, aliyechukua nafasi ya Rais John Magufuli, aliyefariki dunia ghafla mweziMachi 2021, alionyesha dalili za uwazi alipoingia madarakani, hasa akiidhinisha vyombo vya ...
Chama tawala nchini Tanzania, Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepitisha azimio la kumteua Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa nafasi ya urais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadae ...
Mwanaharakati wa Tanzania Maria Sarungi amehusisha tukio la kutekwa kwake nchini Kenya na ukosoaji wake wa serikali ya Tanzania. Akizungumza na vyambo vya habari jijini Nairobi siku moja baada ya ...
Rais mteule wa Marekani Donald Trump alifanya mazungumzo kwa njia ya simu na rais wa China Xi Jinping. Ajenda za mazungumzo yao ni pamoja na uchumi, biashara na mtandao wa kijamii wa TikTok.