na Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) jijini Dar es Salaam siku ya Jumamosi. Kinshasa inataka vikwazo dhidi ya Kigali. Mgogoro huo, ambao umedumu kwa zaidi ya miaka mitatu licha ya ...
Kwa mujibu wa sheria hiyo, atakayebainika kufanya kosa hilo adhabu yake ni kifungo mwaka mmoja au faini isiyopungua Sh300,000 ...
“Jiji la Dar es Salaam, limekuwa likikutana na changamoto ya upatikanaji wa maji, hususani kipindi cha kiangazi, hivyo kukamilika kwa bwawa kutaboresha huduma ya majisafi na salama,” amesema. Meneja ...
Morogoro. Wakati changamoto ya ukosefu wa maji kwenye baadhi ya maeneo katika Jiji la Dar es Salaam na Mkoa wa Pwani ikiendelea kuleta maumivu kwa wananchi, Serikali inaendelea na mradi wa ujenzi wa ...
Kamanda wa polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema ... Maporomoko ya ardhi katika mji wa Pekalongan katika jiji la Java nchini Indonesia yamesababisha vifo vya watu 16 ...
Wakati huo huo, waziri wa mambo ya nje wa Rwanda amekanusha shutuma za SADC kwamba jeshi la nchi yake limeshirikiana na waasi wa M23 katika kushambulia vikosi vya Congo, wanachama wa SADC na raia ...
MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amesema Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam ipo tayari kushirikiana na mamlaka nyingine ikiwemo Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ili kuhakikisha ...
DAR ES SALAAM: MKUU wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo amesema kuwa zoezi la Usafi katika Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam ni kila jumamosi, lengo likiwa ni kufanya jiji kuendelea kuwa katika hali ...
MATAJIRI wa Jiji la Dar es Salaam, Azam FC wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya KMC katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex Chamazi, huku nyota wa kikosi hicho, ...
Stephane Aziz KI wa Yanga ndiye aliyeibuka kinara wa ufungaji bora msimu huo, baada ya kufunga mabao 21, akifuatiwa kwa ukaribu na kiungo mshambuliaji nyota wa matajiri wa Jiji la Dar es Salaam Azam ...
Current time and date at Dar Es Salaam International Airport is 00:47:23 AM (EAT) on Friday, Feb 7, 2025 Looking for information on Dar Es Salaam International Airport, Dar Es Salaam, Tanzania? Know ...