News
Alisema kuwa ili kuongeza uzalishaji mkoa wa Kagera umetenga eneo la hekta 10,000 kwa ajili ya vijana nawanake ambapo kwa kuanzia wilaya ya Karagwe itapata hekta 2,000 na Wilaya ya Muleba hekta 2,000 ...
Mkoa wa Kagera, Seth Jacob Niyikiza, amefariki dunia nyumbani kwake mjini Bukoba, ambapo mwili wake ulipatikana ukiwa umeketi kitini ndani ya nyumba aliyokuwa akiishi, tayari ukiwa umeanza kuharibika.
Kampeni hiyo imeibua wananchi wengi hasa kinamama ambao wengi wamedhulumiwa haki zao za kumiliki mali baada ya waume zao kufariki dunia na ndugu wa mume kuwanyang’anya mali zao. Hivi sasa kampeni hiyo ...
lakini Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Brasius Chatanda ndiye pekee amethibitisha kupokea malalamiko ya Askofu Bagonza na kuwa uchunguzi unaendelea. Kuhusu Mwabukusi, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya ...
Amesema katika Halmashauri Chato baada ya kugawanya jimbo hilo sasa litaitwa Chato Kaskazini (Geita) huku Nkenge likiitwa Missenyi (Kagera). Kwa upande wa Mkoa wa Katavi, jimbo ambalo lilikuwa ...
Eneo la afya la Kalemie katika mkoa wa Tanganyika linakabiliwa na mlipuko wa kipindupindu. Tangu kuanza kwa mwaka huu, zaidi ya wagonjwa 800 wamerekodiwa, vikiwemo vifo 8, kwa mujibu wa taarifa ...
Likishirikiana na Kanisa la Kiprotestanti la Kongo katika rasimu ya Mkataba wa Kijamii wa Amani na Kuishi Vizuri pamoja nchini DRC, Kanisa Katoliki la Kongo kwa mara nyingine tena limesisitiza ...
Mwanasiasa wa kihafidhina Friedrich Merz ameapishwa jana jioni kuwa Kansela mpya wa Ujerumani. Amechukua wadhifa huo saa kadhaa baada ya kushindwa kupata wingi wa kura katika uchaguzi wa awali ...
Israel imesema imefanya mashambulizi ya kulipa kisasi dhidi ya waasi wa Houthi wa nchini Yemen kwa kuyalenga maeneo kadhaa yenye mafungamano na waasi hao. Hayo yamejiri siku moja baada ya kundi ...
Wabunge wa Ulaya ... Siku ya Ushindi wa Vita vya Pili vya Dunia - ulikuwa ukitekelezwa na kuishutumu Ukraine kwa ukiukaji mara 488. Takriban mtu mmoja aliuawa katika mkoa wa Sumy kaskazini mwa ...
wakati majeshi ya Urusi yalipojaribu kuteka miji ya Vuhledar na Bakhmut katika mkoa wa Donesk. Katika mwaka wa kwanza wa uvamizi, kwa mujibu wa takwimu zetu, Urusi ilipoteza takriban askari 17,890.
At least 19 security guards stationed at the late President Bingu wa Mutharika’s Ndata Farm in Thyolo have gone nearly two years without receiving their salaries, raising serious concerns about ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results