News

Amesema kuwa litakuwa jengo la kisasa litakalobeba taswira si tu ya ukubwa wa chama, bali pia nafasi yake ya kuongoza taifa ...
Bunge limepitisha bajeti ya Sh164.1 bilioni kwa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa mwaka 2025/26, fedha ...
Kabla ya sanamu hii ya shaba kuibiwa, sanamu yake asili ya mbao ilichomwa moto mnamo Julai 2020 na waharibifu. Ilichomwa vibaya, kisha ikaondolewa kutoka kwenye kilele chake kabla ya kuonyeshwa ...
Kuepuka migogoro ya ardhi na utapeli, Kwezi anasema kampuni yake ikipata eneo linalouzwa, wanakwenda ofisi ya serikali ya mtaa husika kuangalia kama lipo katika ramani ya mipangomiji ... ofisi za ...
Ulega ameagiza Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kuanza kuweka taa katika barabara kuu inayoelekea mikoa ya Kusini ili kukuza shughuli za kiuchumi katika maeneo inakopita. Waziri huyo ambaye sasa ...
JANA makala hii inayotokana na mahojiano maaalumu ya Septemba 2016 baina ya vyombo vya habari vya Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), likiwamo gazeti la HabariLEO na Makamu wa Kwanza wa Rais na ...
TANZANIA ni ... ulikuwa tani 20,845 na mwaka 2024/2025 lengo ni kuzalisha tani 30,000 lakini uzalishaji ulikuwa tani 22,772. Kwa mujibu wa TTB, wakulima wadogo huzalisha takribani asilimia 40 ya ...
Albamu za picha zinashuhudia heshima hizi na Pepe Mujica, kama wapambe wake, kama mwanasiasa stadi, alijua jinsi ya kuzicheza. Pepe Mujica alimaliza kazi yake ya kisiasa, baada ya muhula wa urais ...
Katika taarifa yake ... wakihoji haja na ulazima wa kuongeza majimbo huku wengine wakiunga mkono. Kwa muda sasa mashirika kadhaa ya kiraia na vyama vya upinzani nchini Tanzania, yamekuwa ...
Serikali ya Tanzania imeonya juu ya ongezeko la matukio ya upotoshaji kupitia mitandao ya kijamii, kufuatia taarifa potofu zilizochapishwa kwenye akaunti zinazodaiwa kuwa za taasisi mbalimbali za ...
Neil Nitin Mukesh disclosed that he was offered both 'Johnny Gaddaar' and 'Jaane Tu Ya Jaane Na' simultaneously. He chose the former, driven by a desire to avoid the 'chocolate boy' image ...
Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania, chadema-Tundu Lissu amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ambako kesi yake ya uhaini na uchochezi zikisikilizwa katika ...