SHAABAN Idd Chilunda lilikuwa miongoni mwa majina yaliyoibuka kwenye usajili wa Simba msimu wa 2023 chini ya kocha Roberto Oliveira 'Robertinho', lakini hakuweza kudumu kikosini humo akiishi ...