Dk. Mapana alitoa wito huo, Februari 7, 2025, jijini Dar es Salaam, wakati akizindua Kamati Kuu ya Uendeshaji wa Tuzo za Muziki wa Injili Tanzania (Tanzania Gospel Music Awards – TMGA), akibainisha ...
HADI kufikia sasa Weusi ni miongoni mwa makundi machache katika Bongofleva yaliyofanikiwa kudumu kwa kipindi kirefu na kuwa ...
Kama wiki mbili hivi kumekuwa na madai kuwa Mbosso anaondoka WCB Wasafi iliyofanya nayo kazi kwa miaka saba ila Mkurugenzi Mtendaji wa lebo hiyo, Diamond Platnumz ametupilia mbali uvumi huo.
UMEIANGALIA orodha ya wafungaji mabao katika Ligi Kuu Bara? Pale juu kuna kinara wa mabao, nyota wa Yanga, Clement Mzize ...
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Clement Mzize, amesema mabao anayoyafunga ni kwa ajili ya kuisaidia timu yake kutwaa ubingwa wa Ligi ...
KABLA ya mchezo wa jana, kati ya Simba dhidi ya Fountain Gate, golikipa wa Wekundu wa Msimbazi, Moussa Camara, alikuwa amebakisha mechi mbili za kusimama langoni bila kuruhu bao ili kumfikia kipa bora ...
Chelsea wana imani Marc Guehi atajiunga nao, Manchester United wanavutiwa na Jean-Philippe Mateta wa Crystal Palace na ...
RAPA kutoka Classic Music Group (CMG), Darassa ameachia albamu yake ya pili, Take Away The Pain (2025) ikiwa na nyimbo 15 ...
UONGOZI wa Mtibwa Sugar unatamba timu yao itarejea mapema katika Ligi Kuu Tanzania Bara ikiwa na mechi nyingi 'mkononi'. Mtibwa Sugar yenye pointi 44 ndio vinara wa Ligi ya Championship inayoendelea k ...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan, amesema pamoja na ukubwa wa chama hicho na matumaini ya ...
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi, amesema mafanikio ya Chama cha Mapinduzi (CCM) tangu kuasisiwa kwake ni kielelezo muhimu ...
Desemba 10 akizungumza baada ya kuapisha viongozi mbalimbali akiwa katika Ikulu Ndogo Tunguu, Zanzibar Rais Samia alimtaka Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Profesa ...