News
Anashikiliwa kwa mahojiano juu ya tukio la kushambuliwa na kitu butu kichwani kwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki ...
Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameweka rekodi ya kuwa msanii wa kwanza na wapekee ukanda wa Jangwa la Sahara kufikisha subscribers milioni 10 kwenye mtandao wa YouTube.
Ni wazi kuwa sauti yake, melodi, uandishi na swaggs zake katika uimbaji ni kati ya mambo yanayofanya Rama Dee kuwepo katika ...
“Kwa niaba ya Serikali na wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ninatuma salamu za pole kwa waumini wote wa Kanisa Katoliki hapa nchini na duniani kote,” amesema Rais Samia. Amesema mchango wa ...
Mgombea urais wa Tanzania, kwa tiketi ya Chama cha AAFP, Kunje Ngombale-Mwiru amesema kiu ya Watanzania kuwa na maendeleo ya ...
1d
Monitor on MSNTanzania opposition leader to go on hunger strike in protest of treason case court proceedingsThe hunger strike will officially begin if he is not brought to court on Monday, May 6, 2025. Thank you for reading Nation.Africa Show plans However, the Tanzania Prisons Service has dismissed ...
PZG-PR imetunukiwa tuzo ya ‘Best PR Agency 2024’ nchini Tanzania katika Tuzo za Umahiri wa Mawasiliano na Uhusiano wa Umma Mwaka 2024 zilizofanyika Jumamosi, 29 Machi 2025, ambazo zinazotolewa na ...
Veronica Mrema kutoka M24 Tanzania Online Media akipata nafasi ya tatu katika kipengele cha mtandaoni. Tuzo za ‘Merck Foundation Africa Media Recognition Awards ‘More Than a Mother’ 2024 na Tuzo za ...
Serikali ya Tanzania imetangaza kuchukua hatua kali dhidi ya Malawi na Afrika Kusini kufuatia vikwazo vya kibiashara vinavyowakwamisha wakulima na wafanyabiashara wa Kitanzania kuuza bidhaa zao katika ...
USHIRIKA wa Wanafunzi wa Kikristo Tanzania (TAFES), unahitaji kukusanya kiasi cha shilingi milioni 450 katika kampeni ya kufanikisha ukarabati na uboreshaji wa Kituo cha Uwezeshaji na Ustawi wa Jamii, ...
Taarifa iliyotolewa na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeeleza kuwa Kipagwile ameibuka mshindi kutokana na mchango mkubwa ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results