Jeshi la Polisi limesema linaendelea na uchunguzi, ikiwa ni pamoja na kupata maelezo yake ili kujua uhalisia wa tukio la ...
Wakati dirisha la uchukuaji na urejeshaji fomu kuwania uongozi ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ...
Wakati Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) likitangaza kuendelea kuimarika kwa ufaulu wa matokeo ya darasa la nne na kidato cha pili, Mwananchi imebaini somo la fikizia, kemia na hisabati ...
Matukio ya watu kudaiwa kutekwa yameendelea kuripotiwa nchini, baada ya jana kudaiwa kutekwa kwa mkazi wa Dar es Salaam, ...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linawashikilia watu 173 kwa tuhuma mbalimbali za uhalifu ikiwemo usafirishaji wa nyara za ...
Mtalii mmoja raia wa Israel ambaye jina lake halijafahamika (mwanamke) amefariki dunia huku wengine watano wakijeruhiwa ...
Wakati uchaguzi wa wabunge ukitarajiwa kufanyika nchini Ujerumani Februari 23, 2025, Serikali ya nchi hiyo imemshutumu ...
Vikosi vya Russia vimedungua ndege ya kivita ya Ukraine aina ya MiG-29, kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumapili Januari 5, 2025 na Wizara ya Ulinzi ya Russia.
Mkuu wa Wilaya ya Kilombero (DC), Dunstan Kyobya amesema Serikali haitawafumbia macho watu watakaohusika kudhoofisha jitihada za kulinda na kuhifadhi pori la akiba Kilombero ambalo ni ...
Ukiwa mtumiaji wa mitandao ya kijamii bila shaka utakuwa unafahamu mizaha (Pranky) ya watengeneza maudhui yasiyofaa kwa lengo la kupata ufuatiliaji kwa watumiaji.
Wakati ugonjwa wa kipindupindu ukitajwa kuwapo katika halmashauri tatu za Mkoa wa Mbeya, mkuu wa mkoa huo, Juma Homera ametoa maelekezo kwa wakuu wa wilaya na kamati za afya.