News

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, amepiga marufuku hospitali kuzuia maiti kwa mwananchi kutokana na gharama za matibabu na badala yake zibuni njia mbadala za kudai malipo hayo. Makonda ametoa ...
KIGOMA: MKUU wa Mkoa Kigoma, Thobias Andengenye amewataka wananchi wa mkoa huo kuzingatia lishe bora kwa watoto wao ili kujenga msingi mzuri wa malezi na makuzi katika kupambana na utapiamlo.
Merz anatarajiwa kuchaguliwa kuwa Kansela mnamo Mei 6 katika kikao cha bunge la Ujerumani, Bundestag, takriban miezi miwili baada ya muungano wa CDU/CSU kushinda uchaguzi mkuu wa mwezi Februari.
Mrisho Gambo (CCM), limechukua sura mpya baada ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, kumtaka awaombe radhi aliodai amewafitini, kuwachonganisha na kuharibu maisha yao. Aprili 23, 2025, Gambo ...
Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA kimesema viongozi wake wawili waliokamatwa na polisi wakiwa njiani kwenda mahakamani kuhudhuria kesi dhidi ya kiongozi wao wameachiliwa. Chama ...
Chadema inaona kanuni za maadili ni njama ya kuwadhibiti wapinzani, na inahofia kuwa ukandamizaji wa serikali utaendelea. Mwezi Septemba afisa mkuu wa chama cha Chadema alitekwa nyara na kuuawa ...
State Roofing and Exteriors unveils rebrand, expands presence with new offices in Western WA Discover how State Roofing and Exteriors is expanding with new offices in Western Washington ...
Katika mkutano wa kilele wa dharura kuhusu mabadiliko ya tabianchi uliofanyika kwa njia ya mtandao leo Jumatano, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres na Rais wa Brazil Luiz Inácio Lula da ...
The University of Washington and Seattle University presidents are among at least 150 institution leaders around the country to decry what they call “unprecedented government overreach and polit ...
Akawa Mjesuti, akasoma falsafa na kufundisha fasihi na saikolojia. Alitawazwa muongo mmoja baadaye, na kuwa mkuu wa mkoa wa kanisa hilo nchini Argentina 1973. Jorge Mario Bergoglio alichaguliwa ...
Filming is underway with the St John WA ambulance service for the coming season of Channel Nine's Paramedics TV show, but restrictions issued by the Health Department have sparked concerns.
The make-up of WA's new look upper house has been confirmed by the WA Electoral Commission after delays in vote counting. Labor has now officially lost its "total control" status in the upper ...