Homa ya mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara baina ya Pamba Jiji FC na Azam FC kesho, Jumapili, Februari 9, 2025 kwenye Uwanja wa ...
TAASISI ya Jamii Foundation kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, pamoja na wanawsake wa mkoa huo, ...
BAADA ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Dodoma Jiji ugenini, kocha mkuu wa Pamba, Fredy Felix ‘Minziro’ amesema ...
WATAALAMU wa sekta ya ununuzi wa umma wameaswa kuzingatia maadili ya taaluma ya fani yao katika usimamizi wa miradi ya umma ...
Wingi wa magugu maji ndani ya Ziwa Victoria umeendelea kukwamisha shughuli za usafirishaji wa abiria na magari katika eneo la ...
WAKATI kukiwa na mijadala kuhusu wachezaji wa ligi mbalimbali za soka nchini kuhusika katika michezo ya kubashiri (betting) ...
MKUU wa Mkoa wa Shinyanga, Anamringi Macha, amemwapisha Mkuu wa Wilaya ya Kishapu, Peter Masindi, huku akimpatia maagizo ...
Mapigano yameanza tena mapema leo Jumapili asubuhi, Januari 26, kaskazini mwa mji mkuu wa mkoa. Kumekuwa na taarifa za milipuko iliyosikika karibu na Kibati, karibu kilomita kumi kutoka mji wa ...
Lissu, ambaye alikuwa mgombea wa urais wa tiketi ya Chadema katika uchaguzi Mkuu wa mwaka wa 2020, amemtuhumu Mbowe kwa kuwa uongozini katika kipindi cha muda mrefu zaidi na kuahidi kutekeleza ...
Viongozi wa kimataifa wa masuala ya kisiasa na biashara wanaokutana Davos Uswisi kwa ajili ya jukwaa la kiuchumi duniani WEF, leo wamekabiliwa na ukweli mchungu kutoka kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa ...
Chama tawala nchini Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM), Januari 19, 2025 kimepitisha azimio la kumteua Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa nafasi ya urais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa ...
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu anasema mateka wa kwanza wanaweza kuachiwa Jumapili, endapo makubaliano yataidhinishwa. Na Asha Juma Chanzo cha picha, AFP Maafisa wa usalama nchini Sudan ...