Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Batilda Burian amesema tayari baadhi ya miili imeshatambuliwa na majeruhi wanaendelea kupatiwa ...
WATU 11 wamepoteza maisha usiku wa kuamkia leo katika ajali ya barabarani, baada ya kugongwa na lori lililokuwa limebeba ...
HALI za majeruhi 13 wa ajali ya barabarani katika eneo la Chang’ombe, Maili Kumi, Wilaya ya Handeni, walioparamiwa na lori ...
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amemtaka mkandarasi ... Akizungumza kwa niaba ya Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega katika ziara ya ukaguzi wa mradi huo mapema hii leo, Chalamila ...
Shughuli ya uokoaji ilianza leo Jumatatu asubuhi na inaweza ... alitangaza mwezi Novemba kuwa ni mjamzito. Rais wa Marekani Joe Biden na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu wamezungumza ...
CHAMA cha Riadha Mkoa wa Kilimanjaro kimepata mabosi wapya baada ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa chama hicho uliofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, huku Mwenyekiti wa zamani Adram ...
WATU 10 wamefariki dunia na wengine 11 kujeruhiwa baada ya breki la lori lililokuwa limebeba saruji kushindwa ...
Akirejea kutoka uhamishoni wiki jana, alitoa wito wa mgomo wa kitaifa wa siku tatu kuanzia Jumatatu. Kwa siku kadhaa, mji mkuu Maputo umebadilishwa ... siku hii ya leo kuwa ya mapumziko.
Donald Trump leo Jumatatu anaapishwa kuwa rais wa 47 wa Marekani. Trump anatarajiwa kutia saini idadi kubwa itakayoweka rekodi ya amri za rais punde baada ya kula kiapo cha kutumikia muhula wake ...
China imetangaza siku ya Ijumaa, Januari 17, kwamba idadi ya watu imepungua kwa mwaka wa tatu mfululizo mnamo mwaka 2024, na hivyo kuthibitisha kushuka kwa uchumi baada ya zaidi ya miongo sita ya ...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amepongeza na kutoa shukrani kubwa kwa uvumilivu na kujitolea kunakofanywa na walinda amani wa Kikosi cha Muda cha Umoja wa Mataifa nchini Lebanon ...