Thamani na shughuli za biashara katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) imeongezeka kwa mwaka 2024 licha ya changamoto ...
Miili ya watu 11 waliopoteza maisha katika ajali ya lori katika Kijiji cha Chang’ombe, Kata ya Segera, Wilaya ya Handeni, ...
HALI za majeruhi 13 wa ajali ya barabarani katika eneo la Chang’ombe, Maili Kumi, Wilaya ya Handeni, walioparamiwa na lori ...
WATU 11 wamepoteza maisha usiku wa kuamkia leo katika ajali ya barabarani, baada ya kugongwa na lori lililokuwa limebeba ...
WATU 10 wamefariki dunia na wengine 11 kujeruhiwa baada ya breki la lori lililokuwa limebeba saruji  kushindwa ...
Mwishoni mwa wiki hii, mkuu wa jeshi la Sudani, ambaye anashutumu Abu Dhabi kwa kuwapa silaha wanajeshi wa Vikosi vya Msaada wa Haraka (FSR), amesema anaunga mkono upatanishi ambao Uturuki ...
Hamza Johari ameshiriki mazishi ya aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Mstaafu Frederick Werema, yaliyofanyika leo Januari 04, katika Kijiji cha Kongoto, Wilaya ya Butiama Mkoa wa Mara.
Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Tedros Adhanom Ghebreyesus ametoa mwito kwa vikosi vya Israel kusitisha mashambulizi yanayolenga hospitali katika ukanda wa Gaza. Ametoa wito huo baada ya hospitali ...
Raia wa Chad leo wanashiriki uchaguzi wa bunge na wa serikali za mitaa baada ya miaka mitatu ya utawala wa kijeshi. https://p.dw.com/p/4oelX Watu wa makabila ya ...
Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) na wafanyakazi wengine wa Umoja wa Mataifa walikuwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Yemen mjini Sanaa siku ya Alhamisi wakati wa shambulizi la anga la ...
Ghasia zinazoendelea nchini Msumbiji baada ya uchaguzi mkuu tarehe 9 mwezi Oktoba mwaka huu wa 2024 ambazo zimesababisha vifo vya watu pamoja na majeruhi, na uharibifu wa mali, zinamtia hofu Katibu ...