TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Dodoma, imefanikiwa kuokoa Sh. milioni 66 za makusanyo ya POS mashine, zilizokuwa hazijapelekwa benki katika Halmashauri ya Mji wa Kondoa.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Katibu wa CCM wa Wilaya ya Songea Mjini ... anatarajiwa kuwa ni mmoja wa viongozi wa ngazi za juu wa CCM. Hata hivyo hakubainisha jina. “Nawaomba ...