Wafanyikazi wa Bad Boy Records wanadai matukio ya kutamausha, katika safari ya Combs kuibuka msanii, ambaye sasa anakabiliana ...
“Tukanunua jeneza, nguo za mtoto kumvalisha, tukaenda nazo mortury, tukafika wakauliza nguo za mtoto ziko wapi tukapeana nguo…ni mimi nilikuwa nazo…kidogo mama akauliza mtoto ako wapi…wakamuambia eti ...
Mwezi uliopita katika siku yake ya kwanza ofisini Rais Donald Trump aliashiria ... kupunguza gharama za safari na kuchukua hatua zingine za kupunguza gharama. Kuna wasiwasi kuwa kujiondoa kwa ...
HUDUMA za intaneti kupitia waya za faiba zilizounganishwa majumbani na ofisini na kasi yake zinazidi kuongezeka nchini, hali inayoashiria mwelekeo mpya wa utumiaji teknolojia zinazojumuisha watu wengi ...
Tunaumia, lakini hatuna jinsi kwa sababu kazi lazima ifanyike,” amesema. Naye Shamsa Kim, anayeuza nguo za jumla na rejareja, amesema mara nyingi hukaa nje ya duka lake na huingia tu mteja anapofika.
Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) amewataka maofisa manunuzi na wakurugenzi watendaji wa halmashauri nchini kutoa taarifa za kampuni ambazo zimeomba ... kuthibitisha tenda au malipo bila ...
Mashirika ya Umoja wa Mataifa leo Jumanne Februari 4 yametoa tathmini kuhusu athari za kimataifa za kupunguzwa kwa ufadhili ... Wafanyakazi wa USAID wamezuiwa kuingia ofisini mwao, huku mkuu wa Idara ...
DODOMA: TUME ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) imewataka wabunifu nchini kutumia fursa za mfumo wa anuani za makazi na kubuni ... kufikishiwa huduma katika maeneo mbalimbali ikiwemo ...
MWIMBAJI wa Afrobeats kutokea Nigeria, Tems, 30, ni miongoni mwa washindi walioweka rekodi katika tuzo za 67 za Grammy 2025 zilizotolewa ... Kusini alipopata Shahada ya Uchumi. Aliacha kazi ya ofisini ...
Independent Online, popularly known as IOL, is one of South Africa’s leading news and information websites bringing millions of readers breaking news and updates on Politics, Current Affairs ...