Baadhi ya wadau wa watetezi haki za watoto likiwamo Shirika la Kaya Foundation, limeanza kupunguza ukubwa wa tatizo la wenye ulemavu kukosa elimu na huduma muhimu, likiwasaka na kuwafikisha shuleni.