KARIBU tena msomaji wangu tuendelee na mada ya wiki iliyopita kuhusu uovu wa nyumba ya baba zetu unavyotesa watu wengi. Yako mambo yanakutokea leo na kukutesa, kumbe yanatokana na uovu wa baba yako ...
MKUU wa Wilaya ya Kahama, Mboni Mhita amewashauri wakazi wa Halmashauri ya Ushetu, kujenga nyumba imara na kuachana na za tope ambazo kwa kuwa ni hatari kipindi cha mvua. Mhita aliyabainisha haya leo, ...
Baadhi ya wadau wa watetezi haki za watoto likiwamo Shirika la Kaya Foundation, limeanza kupunguza ukubwa wa tatizo la wenye ulemavu kukosa elimu na huduma muhimu, likiwasaka na kuwafikisha shuleni.
JUMUIYA ya Wafanyabiashara Kariakoo imewasimika Mabalozi wa nyumba kwa nyumba kwa ajili kusimamia urasimishaji wa biashara, ili kuhakikisha kila mmoja anasajiliwa na kupatiwa namba ya utambulisho wa ...
Saa 10 baada ya tukio hilo, mke wake, Johari Bung'ombe alipatikana akiwa katika shimo la choo nyumba ya jirani alipotumbukizwa na watu hao mita chache kutoka nyumbani kwake. Akisimulia tukio hilo, ...
KLABU ya Yanga imeweka wazi kuwa imefurahia mno sare ambayo watani wao wa jadi Simba waliipata Alhamisi iliyopita kwenye Uwanja wa Tanzanite Kwaraa, Babati, mkoani Manyara dhidi ya Fountaina Gate, ...
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limetoa onyo la dharura kwa wananchi kuhusu hatari inayoweza kusababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha, pamoja na maporomoko ya ...
BENKI ya NMB imekuwa Taasisi ya Kwanza ya Kitanzania kupata ithibati ya kuwa Mwajiri Kinara Tanzania kwa Mwaka 2025, inayotolewa na taasisi bobevu na mahiri ya masuala ya rasilimali watu ya Top ...
Mogadishu (Hargeisa PP News Desk) — In Hargeisa, the President of Somaliland’s administration, Abdirahman Mohamed Abdullahi, is grappling with a formidable political problem: who to credit with his ...
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa, ametoa hoja katika Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa Rais Samia Suluhu Hassan awe mgombea wa nafasi ya urais wa Tanzania katika Uchaguzi ...