"Serikali imeidhinisha mpango wa kuwaachilia mateka," imebaini taarifa iliyochapishwa na ofisi ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu. Siku ya Ijumaa, baraza la mawaziri la usalama la Israel ...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Japani Iwaya Takeshi na mwenzake wa India, Subrahmanyam Jaishankar, wamesisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya nchi zao, kabla ya kuanza kwa utawala mpya wa Marekani.
Baada ya kuchelewesha ... majina ya mateka watatu wa kwanza ambayo ilipaswa kuachiliwa siku ya Jumapili ili kubadilishana na idadi kubwa ya wafungwa wa Kipalestina. Orodha hiyo haikuwasilishwa ...
Serikali ya Japani pia inafanya mipango na Marekani, Australia na India ya kufanya mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa Quad. Mawaziri wao wa mambo ya nje wanatarajiwa kushirikishana umuhimu wa ...
Raia wa Uingereza na Israel Emily Damari ni miongoni mwa wanawake watatu ambao Hamas inasema wataachiliwa huru baadaye, ...
Doron Steinbrecher, 31, Emily Damari, 28, na Romi Gonen, 24, ndio ambao Hamas inasema wataachiliwa, kwa mabadilishano ya ...
Kupandishwa cheo kwa wanasiasa wanne wa kike ndani ya baraza la mawaziri wa waziri mkuu, kume fufua mjadala kuhusu uwakilishi wa wanawake ndani ya upinzani wa mseto. Wasafiri wana onywa wabaki ...
Julius Mwaiselage, alisema kwa wastani hospitali hiyo inapokea wagonjwa watatu wa saratani ya utumbo mpana kila siku. Dk. Mwaiselage anasema miaka 10 iliyopita, aina hiyo ya saratani haikuwa inatajwa ...
Amewataka wananchi kuacha tabia ya kujichukulia sheria mkononi na kusisitiza adhabu kali kwa wahusika ili iwe fundisho. Mmiliki wa mifugo jirani na eneo la tukio, Juma Dutu, amesema mifugo yake ...
matokeo yanayotajwa kuchora mstari wa mshindi wa nafasi ya uenyekiti Taifa wa chama hicho, Januari 21, 2025. Katika uchaguzi ulioanza Januari 16 na matokeo kutangazwa usiku wa kuamkia leo Januari 18, ...
Partly cloudy. Slight chance of a shower about the hills. The chance of a thunderstorm in the northeast. Winds west to southwesterly 15 to 20 km/h becoming light in the evening. Sun protection ...
Very hot over the southern Kimberley, Pilbara, Gascoyne, northern Interior, and northern parts of Central West. Windy over central and southern WA. The next routine forecast will be issued at 4:45 am ...