Ingawa Trump alivunja utamaduni wa kawaida kwa kuwaalika viongozi wa dunia kutoka nchi kama China, Italia na Argentina, hakukuwa na viongozi wa Afrika kwenye orodha ya wageni. Nje ya ratiba rasmi ...
Waziri Mkuu wa ... la mawaziri la usalama na serikali. Hamas ilisema ilijitolea katika mpango huo, lakini BBC inaelewa kuwa ilikuwa ikijaribu kuongeza baadhi ya wanachama wake kwenye orodha ...
MKOA wa Mara ... imo katika orodha ya nchi zenye ugonjwa huo. FURSA KWA WANANCHI Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi, anawataka wananchi na wafugaji mkoani humo kuchangamkia fursa ya kampeni ...
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Japani, Marekani, Australia na India wamefanya mazungumzo ya mpangokazi wa Quad jijini Washington nchini Marekani. Mkutano huo ulifanyika jana Jumanne katika Wizara ya ...
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Ulaya wanakutana hivi leo mjini Brussels, Ubelgiji kuamua iwapo wanatakiwa kuendeleza vikwazo dhidi ya Urusi kutokana na uvamizi wake nchini Ukraine.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Japani Iwaya Takeshi na mwenzake wa India, Subrahmanyam Jaishankar, wamesisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya nchi zao, kabla ya kuanza kwa utawala mpya wa Marekani.
Umoja wa Ulaya umerejesha upya vikwazo vyake dhidi ya Urusi na kukubaliana juu ya ramani ya kuondosha baadhi ya vikwazo ulivyoiwekea Syria. Uamuzi huu ulifikiwa baada ya mkutano wa mawaziri wa ...
Waziri wa mambo ya nje wa Mali, Abdoulaye Diop, amesema sharti muungano wa ECOWAS uandae mazingira yanayohitajika kwa nchi tatu kujiondoa ndani ya muungano huo, na kuongeza kuwa, nchi hizo tatu ...
Jeshi hilo la Uruguay pia limechapisha picha za baadhi ya watu wakiwa wamevalia sare za kiraia na zile na wanajeshi wakiwa wanafanya usajili nao. Waasi wa M23 walikuwa wamewaagiza wanajeshi wa ...
MAWAZIRI kutoka nchi mbalimbali za Jumuiya ya Afrika Mashariki na watumiaji wakubwa wa nishati wanatarajia kukutana Jijini Arusha katika Mkutano wa Ushirikiano wa Nishati wa Afrika Mashariki (EA-ECS), ...
Soma Pia: Baraza la Mawaziri Limeidhinisha Bei Iliyorekebishwa ya Ununuzi wa Ethanoli Due to the visibility provided by the Government under EBP Programme, investments have happened across the country ...
Jana Ijumaa Januari 31, 2025 taarifa kwa vyombo vya habari, iliyotolewa na Ofisa Uhusiano Mkuu wa shirika hilo, Revocutus Kasimba, ilisema orodha ya majina hayo ya watakaorejeshwa yatapatikana kwenye ...