Rais wa Tanzania Samia suluhu Hassan ametaja baraza jipya la mawaziri wakati wa hafla ya kuapishwa kwa Makamu wa Rais Dkt Philip Mpango. ''Nimefanya mabadiliko madogo ndani ya baraza la mawaziri ...
Baada ya uzinduzi huo hapo kesho wizara ya Afya ... Hayo yamesemwa na rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan alipofanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa Barani ...
DAR ES SALAAM: RAIS Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi katika nafasi mbili tofauti ambapo amemteua Ramadhani Lwamo kuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini. Kabla ya uteuzi huo, Mhandisi ...
Picha:Ikulu Rais Dk. Samia Suluhu Hassan katika matukio tofauti tofauti alipoweka Jiwe la Msingi kwenye Uzinduzi wa Shule ya Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Chief Zulu mkoani Ruvuma ambayo ujenzi ...
Rais Samia Suluhu Hassan atazindua Sera ya Elimu na Mafunzo ya ... Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, ameyasema hayo leo Jumatano, Januari 29, 2025, alipozungumzia uzinduzi wa sera hiyo ...
Agizo hilo limetolewa leo Alhamisi Januari 23, 2025 na Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Selemani Jafo, kwa niaba ya Rais Samia, wakati wa uzinduzi wa ulipaji fidia uliofanyika katika Kijiji cha ...
Rais Samia, amekuwa mstari wa mbele kusukuma ajenda ya upikaji safi, ikiwemo uzinduzi wa Mpango wa Msaada wa Wanawake wa Afrika katika Upikaji Safi wakati wa Mkutano wa COP28 huko Dubai, kuongoza ...