“Wizara ya Mambo ya Ndani, Uhamiaji na Wizara ya Maliasili na Utalii mshirikiane kuikuza ... ya Nchi kuhakikisha soko la utalii linakua ili kuunga mkono juhudi za Rais Dk. Samia Suluhu Hassan za ...
Makamu huyo wa zamani wa rais ... mwenza wa Samia Suluhu Hassan. "Hatuna wagombea mbadala kwa mwaka 2025," iliandikwa kwenye mabango. "Tumetimiza mengi katika miaka minne iliyopita na ninaahidi ...
Chama tawala nchini Tanzania, Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepitisha azimio la kumteua Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa nafasi ya urais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadae ...
DODOMA – Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Dk. Tedros Adhanom Ghebreyesus, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo Januari 20. Rais wa Jamhuri ya ...
Azimio hili lilipitishwa mapema kuliko kawaida, hatua iliyotokana na mapendekezo ya wajumbe wa mkutano huo waliokuwa wakijadili utekelezaji wa Ilani ya CCM. Wajumbe walipendekeza Rais Samia na Rais ...
Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema mtu mmoja amekutwa na maambukizi ya virusi vya Marburg (MVD) katika Wilaya ya Biharamuro mkoani wa Kagera, huku akisema nchi imefanikiwa ...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Hashil Abdallah amempongeza na kumshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kuwezesha ujenzi wa Jengo la Ofisi Kuu ya Wakala wa Vipimo (WMA) jijini Dodoma ...
Ejo ku wa Mungu, zimwe mu ntumwa zariko zitanga intererano zazo ku bijanye n'ugushirwa mu ngiro kw'itegeko ry'amatora rya CCM, zasavye iryo koraniro kwemeza Perezida Samia na Perezida Mwinyi ngo ...
Kwa kauli moja, wajumbe wameazimia Rais Samia Suluhu Hassan ndiye atakuwa mgombea urais wa chama hicho wa Tanzania, huku Zanzibar atakuwa, Dk Hussein Ali Mwinyi atapeperusha bendera ya CCM. Mkutano ...
Jakaya Kikwete amesema rai ya wajumbe waliotoa ya kumpendekeza Rais Samia na Dk Mwinyi kuteuliwa kuwania urais kupitia chama hicho haipingwi kwa kuwa kila chama kina utaratibu wake. Amesema rai ya ...
Rais mteule wa Marekani Donald Trump alifanya mazungumzo kwa njia ya simu na rais wa China Xi Jinping. Ajenda za mazungumzo yao ni pamoja na uchumi, biashara na mtandao wa kijamii wa TikTok.