News

Kampeni hiyo imeibua wananchi wengi hasa kinamama ambao wengi wamedhulumiwa haki zao za kumiliki mali baada ya waume zao kufariki dunia na ndugu wa mume kuwanyang’anya mali zao. Hivi sasa kampeni hiyo ...
Mkoa wa Kagera, Seth Jacob Niyikiza, amefariki dunia nyumbani kwake mjini Bukoba, ambapo mwili wake ulipatikana ukiwa umeketi kitini ndani ya nyumba aliyokuwa akiishi, tayari ukiwa umeanza kuharibika.
WHO inasema imeambia serikali ya Tanzania kuhusu mlipuko huo unaoripotiwa kutokea kwenye mkoa wa Kagera. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo Tedros Adhanom Ghebreyesus kupitia ukurasa wake wa X ...
Mlipuko wa virusi hivyo umeripotiwa katika eneo la Kagera kaskazini ... bado haijawasilisha ramani zinazoonyesha jinsi wanajeshi wake wangeondoka katika maeneo ya Gaza. Chombo cha anga za juu ...
Kikanda pia kuna hatari kubwa ya kusambaa kutokana na mkoa wa Kagera kuwa eneo la mpito na harakati za mipakani n anchi za Rwanda, Uganda, Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC. Baadhi ya ...
hali nzuri ya hewa ni nyezo muhimu zinazoweza kuvutia uwekezaji utakaozalisha ajira. "Ni wakati wa wawekezaji wakubwa sasa kuuona mkoa kagera kama sehemu sahihi sasa ya kuwekeza miradi mbali mbali ...
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Fatma Mwasa katika hafla hiyo ya makabidhiano amemuomba Waziri wa Ujenzi kusaidia Halmashauri ya Kyerwa kukamilisha vipande vya miradi ya barabara ya lami vilivyobakinili ...
Huu ni msemo maarufu kwa watu wanaotokea Mkoa wa Kigoma ... na kuzimika kimya kimya kabla ya kuibuka kwa Kanembwa. Hata hivyo baada ya msoto mkubwa wa miaka karibu 20 na Kigoma kupotea kwenye ramani ...
MKUU wa Mkoa wa Kagera, Fatma Mwassa amewahakikishia wakulima wa kahawa mkoani humo kuwa wataendelea kupata bei nzuri ya kahawa na kulipwa fedha pale wanapouza kahawa ndani ya saa 24. Hatua hiyo ni ...
Tanzania kwa kushirikiana na Shirika la Afya Duniani WHO imetangaza rasmi kudhibitiwa kwa homa hatari ya virusi vya Marburg ... ya watu kadhaa katika mkoa wa Kagera. Waziri wa Afya wa Tanzania ...
Wizara ya afya nchini ... wanatibiwa ugonjwa wa Marburg unaofanana na Ebola. Waziri wa afya Ummy Mwalimu amesema visa hivyo vilitambuliwa katika mkoa wa magharibi wa Kagera na serikali imefanikiwa ...