KARIBU tena msomaji wangu tuendelee na mada ya wiki iliyopita kuhusu uovu wa nyumba ya baba zetu unavyotesa watu wengi. Yako mambo yanakutokea leo na kukutesa, kumbe yanatokana na uovu wa baba yako ...