WAKATI Watanzania wakiendelea kulipigia hesabu ndefu kundi la Taifa Stars katika michuano ya AFCON 2025, kaimu kocha mkuu wa timu hiyo, Hemed Seleman 'Morocco' ametoa mtazamo wake na namna ...
Rais wa DRC , Felix Tshisekedi, hatahudhuria mkutano usio wa kawaida wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ulioitishwa na Rais William Ruto wa Kenya kuhusu mgogoro wa mashariki mwa Congo.
RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema nyumba nyingi zilizojengwa na mwasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar baada ya mapinduzi ya mwaka 1964, zimechakaa na hivyo serikali yake itahakikisha ...
Mambo hayo yatakayofanyika katika mkutano huo, yatasaidia kuweka ramani ya kimkakati kwa maendeleo ya nishati barani Afrika yenye lengo la kukuza upatikanaji wa nishati endelevu na ya haki kwa wote.
Wananchi wanaoishi mtaa wa Ruzinga kata Bugene wilaya Karagwe mkoa Kagera wakiwa wakiwa wamekusanyika eneo la myumbani kushuhudia tukio hilo la Mama na mtoto kufariki ndani ya nyumba. Karagwe. Mama na ...