Rais wa DRC , Felix Tshisekedi, hatahudhuria mkutano usio wa kawaida wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ulioitishwa na Rais William Ruto wa Kenya kuhusu mgogoro wa mashariki mwa Congo.