“Raise your ya ya ya.” Pretty self-explanatory, right? Well, maybe not. If that phrase confuses you, but you've heard your kids belt it out, they're probably familiar with a mega-viral TikTok ...
Juma hili katika makala ya Gurudumu la Uchumi, tunajadili kuhusu athari za hatua ya Marekani kusitisha kwa muda utoaji wa misaada ya nje. Uamuzi huu tayari umeonekana kutishia baadhi ya sekta ...
Kujiondoa kwa Marekani hakutaanza kutekelezwa hadi mapema 2026 , lakini kuondoka kutahitaji idhini ya bunge la Congress.
Asilimia 80 ya Mji Mkongwe wa Mosul, kwenye ukingo wa magharibi wa Tigris, uliharibiwa wakati wa uvamizi wa IS kwa miaka mitatu. Haikuwa tu makanisa, misikiti na nyumba kongwe ambazo zilihitaji ...
India has 29 states with at least 720 districts comprising of approximately 6 lakh villages, and over 8200 cities and towns. Indian postal department has allotted a unique postal code of pin code ...
Katika Ukanda wa Gaza, ni wachache wanaotaka kusikia kuhusu kutelekeza nyumba zao, ingawa kwa wengi sasa ni milima ya vifusi baada ya miezi 15 ya vita na kushuhudia karibu vifo 47,000 vya Wapalestina.
SIKU chache baada ya kuchaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira anazungumza na Nipashe na kutangaza kile anachokilenga kuwa ni jukumu la kutangaza utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ...
Baadhi ya eneo lililoathiriwa na mabadiliko ya tabianchi katika Kijiji cha Nungwi, Wilaya ya Kaskazini A, Mkoa wa Kaskazini Unguja. Unguja. Takirban nyumba 100 zilizo pembezoni mwa Bahari ya Hindi ...
Hatimaye Serikali imezindua Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 toleo la 2023 jijini Dodoma hivi karibuni. Uzinduzi huo unafuatia kukamilika kwa nchakato wa mapitio ya sera hiyo iliyozinduliwa kwa ...
Hatua ndogo zinazojenga tabia endelevu Badala ya kujitumbukiza katika malengo makubwa ya haraka, inashauriwa kuanza na hatua ndogo zinazotekelezeka na ambazo zitajenga tabia ya kudumu. Kwa mfano, ...
Kwa mujibu wa Mwakalebela, Tanzania ikitoa motisha sawa za kifedha itafikia ongezeko la asilimia 15 hadi 20 katika biashara zilizorasimishwa hivyo, kuwezesha kuwapo utulivu mkubwa na endelevu wa ...