Najaribu kupekua nyaraka za Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) sioni jina hili, bali kilichopo ni Mkoa ...
Licha ya ukubwa wa hadhi na heshima ya Global Gates Goalkeeper Award aliyotunukiwa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ukweli ni kwamba hiyo siyo tuzo yake ya kwanza katika ... kwa niaba ya ...
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) Augustine Holle amesema kamati yake imeridhishwa na utekelezaji wa miradi ya miundombinu ya utalii inayofanywa na Mamlaka ...
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kushirikiana na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) inafanya utafiti wa tatu wa hali ya upatikanaji na matumizi ya nishati katika mikoa yote ya Tanzania Bara ... ili ...
JUZI Rais Samia Suluhu Hassan alikutana na kufanya mazungumzo na mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao Tanzania. Katika mazungumzo hayo ... anayoendelea kuonesha na kuhakikisha falsafa yake ya ...
Kikao hicho kimeanza hii leo Jumamosi jijini Dar es Salam nchini Tanzania kujadili suala la usalama na ile ya kibinadamu katika Mji wa Goma, Mji Mkuu wa Kivu Kaskazini. Nchi ya DRC inawakilishwa ...
Mkutano wa Dar es Salaam, unatarajiwa kwa mara ya kwanza kumkutanisha rais Tshisekedi na mwenzake wa Rwanda, Paul Kagame, ambaye nchi yake inatuhumiwa na umoja wa mataifa pamoja na nchi za ...
Perezida Samia Suluhu Hassan wa Tanzania – ari na co gihugu cakiriye iyi nama y'akarere – asaba impande zishamiranye kuja mu biganiro. Ati: "Dusaba impande zose zishamiranye mu ntambara ya ...
Johansen Josephat, Afisa Mawasiliano Kutoka Shirika lisilo la kiserikali linalojihusisha na uboreshaji wa huduma ya afya kwa umma nchini Tanzania ametoa maoni yake kwa kueleza jinsi walivyoguswa.
Mwigulu Nchemba, wakasema mustakabali wa nishati barani Afrika unategemea juhudi za kijasiri zinazochanganya uvumbuzi wa kifedha na mifumo ya kimkakati ya sera. Tanzania ikafafanua kuwa theluthi moja ...
Pia alitumia nafasi hiyo kushukuru timu alizopita hadi kufikia ndoto yake ya kucheza soka la kulipwa nje ya Tanzania na sasa anajipanga ili kufanya kazi iliyompeleka Morocco. Hadi anaondoka nchini, ...