News

Kuepuka migogoro ya ardhi na utapeli, Kwezi anasema kampuni yake ikipata eneo linalouzwa, wanakwenda ofisi ya serikali ya mtaa husika kuangalia kama lipo katika ramani ya mipangomiji ... ofisi za ...
Ulega ameagiza Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kuanza kuweka taa katika barabara kuu inayoelekea mikoa ya Kusini ili kukuza shughuli za kiuchumi katika maeneo inakopita. Waziri huyo ambaye sasa ...
Bunge limepitisha bajeti ya Sh164.1 bilioni kwa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa mwaka 2025/26, fedha ...
Amesema kuwa litakuwa jengo la kisasa litakalobeba taswira si tu ya ukubwa wa chama, bali pia nafasi yake ya kuongoza taifa ...
JANA makala hii inayotokana na mahojiano maaalumu ya Septemba 2016 baina ya vyombo vya habari vya Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), likiwamo gazeti la HabariLEO na Makamu wa Kwanza wa Rais na ...
Dar es salaam, Tanzania – Sakata la Simba kuzuiwa kufanya mazoezi yake ya ... na washikadau wa mpira wa miguu Tanzania. Mashabiki waliosafiri kutoka mikoa, nje ya nchi kuja kutazama mojawapo ...
Kupitia muongozo huo, serikali iliachana na marufuku yake ... nchini Tanzania wanaporudi shuleni, na bado wanakatishwa tamaa na kupuuzwa na baadhi ya wakuu wa shule na walimu katika mikoa mbalimbali.
Kulingana na chanzo hicho hatua hiyo ilifikiwa kufuatia mkutano kati ya Waziri Mkuu wa Qatar na wawakililishi wa Hamas na wawakilishi tofauti wa Israel katika ofisi yake. Ripoti katika vyombo vya ...
Huku kukiwa na uwezekano wa kuchukua muda hadi wa misimu miwili ya ligi hiyo kabla ya kuanza matumizi yake. “Hatuna miundombinu bora ya viwanja ambayo inaweza kuruhusu kutumia VAR katika kila mechi za ...
Serikali ya Tanzania imefungua mpaka kati yake na Msumbiji, katika eneo la ukanda wa mikoa ya kusini mwa nchi hiyo. Hii ni baada ya mipaka hiyo kufungwa kwa zaidi ya miaka 4 kufuatia kuzorota kwa ...
Katika ramani hiyo iliyowasilishwa na ... jopo la kusimamia mashindano kubuniwa pamoja na bajeti yake kutolewa kufikia Agosti 2027. Kamati ya mashindano itaundwa kuanzia Februari tarehe moja ...
Kigoma ilikuwa ikiutumia msemo huo kushindana na mikoa ya Mwanza, Morogoro na Tanga ambayo ilisifika pia ya nyuma kwa kutoa mastaa wakubwa wa soka nchini waliotamba ndani na nje ya mipaka ya Tanzania ...