RAIS Samia Suluhu Hassan amepokea tuzo ya heshima ya ‘The Gates Goalkeepers Award’ kutambua juhudi zake za kupunguza vifo vya mama na mtoto kwa asilimia 80, kuboresha upatikanaji huduma za afya na kuk ...
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Clement Mzize, amesema mabao anayoyafunga ni kwa ajili ya kuisaidia timu yake kutwaa ubingwa wa Ligi ...
UONGOZI wa Mtibwa Sugar unatamba timu yao itarejea mapema katika Ligi Kuu Tanzania Bara ikiwa na mechi nyingi 'mkononi'. Mtibwa Sugar yenye pointi 44 ndio vinara wa Ligi ya Championship inayoendelea k ...
IMAMU wa mojawapo ya misikiti mitakatifu ya Kiislamu huko Mecca na Medina, anatarajiwa kuja nchini kushuhudia mashindano ya kimataifa ya Kurani Tukufu yanayotarajiwa kufanyika Februari 23 mwaka huu. A ...
Waziri wa Afya, Jenista Mhagama, Mkutano wa 74 wa Mawaziri wa Afya wa Jumuiya ya Afya ya Nchi za Afrika Mashariki,Kati, na ...
MADAI ya malimbikizo ya mishahara ya waandishi wa habari 10 dhidi ya Mkurugenzi wa Gazeti la Tanzania Daima, Dudley Mbowe yametua mbele ya Jaji Dk. Modesta Opiyo, waandishi wanaomba akamatwe aende ger ...
Tangu ameingia madarakani, tuzo mbalimbali zimemiminika kwa Rais Samia kwenye sekta za utalii, miundombinu, utawala bora na ...
KABLA ya mchezo wa jana, kati ya Simba dhidi ya Fountain Gate, golikipa wa Wekundu wa Msimbazi, Moussa Camara, alikuwa amebakisha mechi mbili za kusimama langoni bila kuruhu bao ili kumfikia kipa bora ...
MSHAMBULIAJI wa Ain Diab ya Morocco, Jaruph Juma amesema kuchaguliwa kuwania tuzo ya mchezaji bora wa soka la ufukweni inampa ...
Tuzo ya Gates Goalkeeper imeasisiwa na Taasisi ya Bill and Mellinda Gate mwaka 2017 ikilenga kuchochea na kuonyesha juhudi za ...
Samburu anayesimamia miradi ya Gates iliyopo Kenya, Tanzania, Rwanda, Uganda na mataifa mengine ya Afrika Mashariki, pia ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results